Mwanamke mmoja nchini China amekata
uume wa mumewe, kutokana na kuwa na mahusino na mwanamke mwingine, na
kurudia tena kumkata baada ya madaktari kuunganisha.
Mwanaume huyo Fan, alishonwa uume
katika hospitali moja mkoani Henan, lakini mkewe alimfuata hospitali
aliyolazwa na kuukata tena uume wake.
Madaktari waliutafuta uume wa Fan,
lakini walishindwa kuupata baada ya kukatwa tena na mkewe huyo
anayeshikiliwa kwa kitendo hicho. Fan alifanyiwa upasuaji tena katika
hospitali nyingine alihamishiwa kwa matibabu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni