Shirika la Ujasusi la Marekani la
FBI, linamshikilia mtu mmoja kutoka Ohio kwa tuhuma za kupanga
shambulio katika Jiji la Washington, katika namna ya ushawishi wa
mashambulio ya Dola ya Kiislam.
Mtu huyo Christopher Cornell, mwenye
umri wa miaka 20, anakabiliwa na shtaka ya kujaribu kumuua afisa wa
serikali kwa mujibu wa nyaraka za mahakama.
FBI walimbaini mtuhumiwa huyo baada
ya ku twitti mandishi yanayounga mkono kundi la Dola ya Kiislam.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni