.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Januari 2015

NAIBU WAZIRI WA MAJI, MH MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KATIKA VIJIJI VYA SHONGO NA IGALE, MBEYA VIJIJINI

Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikwepa utelezi wakati akikagua chanzo cha maji ya chemchemu ya Ndoba kijiji cha Galijembe
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akipokea zawadi kijiji cha Shongo ambapo wananchi walimlaki kwa furaha
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla katika Akipanda mti chanzo cha Ndoba- kijiji cha Galijembe
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizindua rasmi mradi kijiji cha Shongo.
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla apokelewa kwa shangwe kijiji cha shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizindua Maji kijiji cha shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla na mbunge wa Mbeya Vijijini mch Luckson Mwanjale (kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi mradi maji kijiji cha shongo
     Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiwa na machifu kijiji cha Shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akilakiwa na mbunge wa Mbeya Vijijini Mch. Luckson Mwanjale
Wananchi wa kijiji cha Shongo wakiwa na furaha baada ya kupata maji safi na salama.
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla amefanya ziara ya vijiji mbalimbali Mbeya Vijijini ambako amezindua mradi mkubwa maji vijiji vya Shongo na Igale maelfu wafurahia.

Katika ziara hiyo kaagiza wakala wa visima (DDCA) kuchimba kisima kirefu kijjiji cha Mjele kutekeleza ahadi ya mhe Rais Jakaya Kikwete kuwaokoa wananchi maelfu kufuata maji umbali wa kilomita 7.

Pia ametoa ahadi ya kuanza utekelezaji wa mradi wa maji wa maji vijiji vya Iwindi,Mwashiwawala na Izumbwe ambao ulisimama baada mkandarasi kusimamishwa kwa kushindwa kazi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni