.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Januari 2015

PAPA FRANCIS AWASILI SRI LANKA KUANZA ZIARA YAKE YA BARA LA ASIA

Papa Francis amewasili nchini Sri Lanka kuanza ziara yake ya siku sita ya Asia ambayo inatarajiwa kukusanya umati mkubwa wa watu.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Duniani baadae atasafiri kuelekea Philippines, kukiwa na mipango ya kuendesha ibada katika eneo la wazi.

Hii ni ziara ya kwanza kwa papa kutembelea Sri Lanka tangu kumalizika kwa miongo minne ya vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2009.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni