.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Januari 2015

SERIKALI YA NIGERIA YASEMA WALIOKUFA MJINI BAGA NI ZAIDI AY WATU 150

Mamlaka nchini Nigeria zimesema idadi ya watu waliopoteza maisha yao katika shambulio lililofanywa na wapiganaji wa kundi la Boko Haram, wiki iliyopita ni zaidi ya watu 150.

Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo amesema idadi hiyo inahusishapia magaidi wengi, ambao waliushambulia mji Baga katika jimbo la Borno na kukabiliana na upinzani kutoka kwa jeshi.

Maafisa wa eneo hilo walikadiri kuwa shambulio hilo limesababisha vifo vya watu 2,000.

Serikali ya Nigeria imekuwa ikilaumiwa kwa kushusha idadi ya vifo katika kuonyesha tatizo la Boko Haram kuwa sikubwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni