Watu 25,000 wameweka rekodi kuungana
na maandamano ya kuupinga uislam Dresden nchini Ujerumani,
yaliyoitishwa baada ya kutokea mashambulio ya ugaidi Jijini Paris
nchini Ufaransa.
Waandamanaji wamekaidi wito wa
serikali ya Ujerumani, wa kuwataka kuachana taasisi ya Pegida
inayoendesha kampeni ya kupinga uislam.
Kwingineko Ujerumani makumi ya
maelfu ya watu wamejiunga na maandamano ya kuipinga msimamo wa
taasisi ya Pegida.
Kiongozi wa Ujerumani Kansela Angela
Merkel amesema atashiriki maandamano yaliyoandaliwa na Waislam katika
Jiji la Berlin yenye lengo la kuhimisa umuhimu wa kuvumiliana
kiimani.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni