.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 29 Januari 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28,2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande

                                                                                                    (PICHA NA IKULU)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni