.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 29 Januari 2015

RAIS SALVA KIIR AGUA HAFLA NA KUKIMBIZWA HOSPITALI JIJINI ADDIS ABABA

Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amekimbizwa hospitali katika Jiji la Addis Ababa nchini Ethiopia baada ya kuugua.

Bw. Kiir anasumbuliwa na tatizo la kutokwa damu puani, maafisa wake wamesema, hata hivyo suala la hali yake inavyoendelea halikuelezwa.

Kulazwa kwake hospitali kumechelewesha mkutano wa viongozi wa kikanda unaojadili machafuko ya Sudan Kusini.

Rais Kiir mwenye umri wa miaka 63, ameliongoza taifa hilo tangu kupata uhuru wake kutoka kwa Sudan mnamo mwaka 2011.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni