.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Januari 2015

SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ZAFANA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, leo Jumatatu Januari 12, 2015
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad
Rais Jakaya Kikwete akisaliamiana na Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Shein akiingia uwanjani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyeikiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Shein akikagua vikosi vya ulinzi na usalama
Wananchi walifurika kwa wingi uwanja wa Amaan kufuatilia sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Shein akiwahutubia wananchi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni