.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Januari 2015

POMBE YENYE SUMU YAUA WATU 56 AKIWEMO MTOTO NCHINI MSUMBIJI

Watu 56 akiwemo mtoto mdogo wamekufa kaskazini magharibi mwa Msumbiji kutokana na sumu iliyowekwa kwenye pombe ya kienyeji ijulikanayo kama 'phombe'.

Mkurugenzi wa Afya katika Mkoa wa tete Carla Mosse, ameiambia redio Mocambique watu 39 bado wamelazwa hospitali hii leo, baada ya kupata madhara ya pombe hiyo iliyokuwa na sumu.

Wahanga wote wa tukio hilo akiwemo mtoto wa miaka miwili, walishiriki maziko siku ya Ijumaa asubuhi, na kisha kunywa pombe ya kienyeji inayotengenezwa kwa kutumia mbegu za mtama.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni