.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Januari 2015

WAZAMIAJI WAOPOA BAHARINI KISANDUKU CHA DATA CHA NDEGE YA AIRASIA

Wazamiaji wa Indonesia wamekiopoa majini kisanduku kinachorekodi taarifa za ndege cha ndege ya AirAsia namba QZ8501 iliyoanguka baharini.

Wazamiaji hao pia wanaamini kupata sanduku linalorekodi sauti, ambalo linakamilisha kifaa cha mawasiliano cha black box, hata hivyo wazamiaji hawakuweza kukifikia.

Ndege ya hiyo AirAsia ilitoweka kutokana na hali mbaya ya hewa Desemba 28, ikiwa na abiria 162 na kisha kuripotiwa kuanguka kwenye bahari ya Java.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni