Wanafunzi na walimu wamerejea kwa
mara ya kwanza katika shule iliyopo mji wa Peshawar nchini Pakistani
ambayo wanafunzi na walimu 140 waliuwawa mwezi uliopita.
Walimu na wanafunzi watafanya tukio
la kuwakumbuka wale wote waliouwawa katika shambulio hilo la kigaidi
lililotekelezwa na wapiganaji wa Kitaliban.
Shule mbalimbali nchini Pakistani
zinafunguliwa baada ya kutolewa muda wa ziada wa mapumziko, kutokana
tukio hilo la shambulio la wataliban Desemba 16, mwaka jana.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni