Ofisa Tawala wa Wilaya ya Micheweni Pemba, Ahmed Khalid , akitowa nasaha zake kwa uongozi wa SOS kwa kuvikabidhi Vikundi vitatu vya Wilaya hiyo fedha kwa ajili ya mpango wa kuimarisha Familia Pemba.
Mwenyekiti wa Bodi ya SOS Zanzibar, Mohammed P, Bhaloo,akieleza machache juu ya mpango wa kuimarisha Familia (FSP) Pemba kwa Wadau wa mpango huo huko kwenye Ukumbi wa Hifadhi Hotel Chake Chake.
PICHA NA BAKAR MUSSA -PEMBA.




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni