.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 19 Januari 2015

WACHUNGUZI WASEMA KUANGUKA KWA NDEGE YA AIRASIA HAKUHUSIANI NA UGAIDI

Wachunguzi wa Indonesia wamesema kuanguka kwa ndege ya AirAsia QZ85501 hakuhusiani na ugaidi, ikiwa ni kauli ya kwanza kutolewa baada ya kutathimini kisanduku cha taarifa za ndege.

Mchunguzi wa usalama wa usafiri Andreas Hananto ameviambia vyombo vya habari kuwa kunadalili kuwa ndege hiyo ilikumbana na hali mbaya ya hewa na kuanguka.

Ndege hiyo inadhaniwa kuwa ilianguka Desemba 28 wakati ilipokutana na hali mbaya ya hewa wakati ikikatiza katika mvua kubwa.

Abiria wote 162 waliokuwemo kwenye ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Surabaya Indonesia kwenda Singapore walifariki dunia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni