.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 22 Januari 2015

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MH OMAR YUSSUF MZEE AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)Tawi la Pemba, huko kwareni Vitongoji wakati alipokwenda kuangalia eneo lililokusudiwa kujengwa nyumba za Mikopo nafuu
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akipata maelezo ya moja ya risiti ya uwingizaji wa bidhaa kisiwani Pemba, kutoka katika Ofisi ya TRA Bandarini Wete, mara baada ya kufanya ziara ya kushutiza kwenye ofisi hiyo, kushoto ni mkuu wa TRA Wete na kulia ni afisa mdhamini Wizara ya Fedha Pemba
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akizungumza na walimu wa skuli ya msingi Maziwa ngombe Wilaya ya Micheweni, mara baada ya kukagua hatua zilizofikiwa za ujenzi wa Vyoo alivyoahidi kuvijenga skulini Hapo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni