Wapenzi wa muziki wakiwa katika viwanja vya Ngomekongwe wakifuatilia Tamasha hilo wakati wa Msanii wa Kizazi kipya Ali Kiba akifanya vitu vyake jukwaani jana usiku wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar.
Ali Kiba akilishambulia jukwaa wakati wa onesho lake la ufunguzi wa Tamasha la Busara lililoanza jana katika viwanja vya Ngome Kongwe Zenj na kuwavutia Wageni wengi waliofika katika viwanja hivyo akipiga mziki laivu
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni