West Brom leo wanateremka uwanjani kucheza na West Ham katika mchezo wa kuwania kombe la FA huko nchini Uingereza, mchezo utakaochezwa saa 9:45 kwa saa za Afrika Mashariki.
Mechi nyingine za kuwania kombe hilo zitakazochezwa leo ni pamoja na mchezo kati ya Blackburn dhidi ya Stoke City nao Derby watakuwa nyumbani kucheza na Reading. Crystal Palace watacheza na Liverpool.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni