.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 15 Februari 2015

DK SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS, KAZI NA UTUMISHI WA UMMA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha siku moja cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma katika utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyosomwa na Waziri Haroun Ali Suleiman (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni