.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 18 Februari 2015

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WATENDAJI OFISI YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk.Omar Dadi Shaajak (kushoto) na watendaji wengine wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyotolewa na Waziri Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Abduhabib Ferej katika mkutano uliofanyika leo jioni chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni