Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Kampuni Kubwa na Ndogo
zinazopambana na UKIMWI Mahala pa kazi (ABCT) Tanzania, Richard Kasesera
(kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya waratibu wa UKIMWI na
Afya mahala pa kazi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Mratibu wa ABCT, Ruth Gundula. (PICHA NA RICHARD
MWAIKENDA)
Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Scania Tz, Doris
Masengo (kulia0 akielezea jinsi wanavosaidia kutoa elimu kwa wafanyakazi ya
mapambano dhidi ya Ukimwi katika kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja Msaidizi
wa Scania, Kisali Mnyari.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni