Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum na Idara zake mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Haji Omar Kheir (hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni