Balozi mpya wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Hawa Ndilowe
akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati za Utambulisho ikulu
jijini Dar es Salaam Februari 18, 2015.Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa
Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na
Baliozi mpya wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Hawa Ndilowemara mara baada ya
kuwakilisha hati za Utambulisho.
Balozi mpya wa Kuwait nchini Tanzania Mhe.Jasem Ibrahim
Al-Najem akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati za utambulisho
ikulu jijini Dar es Salaam Februari 18, 2015.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania na Rais Dkt.Jakaya
Kikwete.wakiwa katika mazungumzo baada ya kuwasilisha hati za utambulisho.
Balozi Mpya wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania
Mhe.Thamsanqa Dennis Mseleku akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Katikati
anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.
Balozi Mpya wa Kenya nchini Tanzania Mhe.Chirau Ali Mwakwere
akiwasilisha Kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati zake za utambulisho ikulu
jijini Dar es Salaam leo. . Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi
Mohamed Maharage Juma.
(Picha zote na Freddy Maro)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni