Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Habari,Utamaduni ,Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 jana katika kikao maalum kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahya Mzee (kulia
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo na Idara zake mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Said Ali Mbarouk(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo na Idara zake mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Said Ali Mbarouk(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni