Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akizungumza
na Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Utalii ya Bunge la Norway,Ola Eluestuen
(kushoto) na Balozi wa nchi hiyo hapa Tanzania Hanne-Mariekaarstad, walipofika
ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuzungumza na kamati nzima ya bunge hilo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni