.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Februari 2015

WAZIRI MOHAMED ABOUD AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KIKAZI DUBAI



Waheshimiwa Janet Mbene na Mohammed Aboud, leo wameendelea na ziara yao ya kikazi Dubai. Katika kikao cha leo, ujumbe huu pamoja na mwenyeji wao Mhe. Omar Mjenga, wamefanya mazungumzo ya biashara na Rais Mstaafu wa Comoro Mzee Sambi. Pichani ni mazungumzo hayo yakiendelea.
Mawaziri Mohamed Aboud na Janet Mbene wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu wa visiwa vya Comoro (katikati) pamoja na wenyeji wao

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni