Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiongoza Ujumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa leo
Miongoni mwa wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa walipofika kuzungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo asubuhi katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kutoka kulia) Aisha Ali Karume na Asha Kombo Haji na Rase-Mary J.Nyerere,[Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni