Biharusi mtarajiwa mmoja amegoma kuolewa na bwana ambaye hajui hesabu
katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India.Biharusi hiyo aligoma kuolewa muda mchache kabla ya kufunga ndoa baada
ya kumuuliza bwana harusi mtarajiwa 15 + 6 ni ngapi na bwana akajibu
17.
Baada ya kupatiwa jibu hilo, bi harusi aliiambia familia yake kuwa hawezi kuolewa na mume asiye na elimu na hata wazazi wake walipo mbembeleza aligoma kabisa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni