Jumamosi, 14 Machi 2015
WAZIRI HAROUN ATEMBELEA OFISI ZA NYARAKA ZA MAKUMBUSHO KILIMANI ZANZIBAR
MKURUGENZI wa Idara ya Nyaraka na Makunbusho Hamad Omar (kulia)akimfahamisha jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Mh. Haroun Ali Suleiman wakati alipotembelea katika ofisi za Nyaraka.
Waziri Haroun alipotembelea ofisi za Nyaraka na Makumbusho na kuangalia picha na mambo mbalimbali yanayohifadhiwa humo.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Mh. Haroun Ali Suleiman,akiangalia Mas-hafu Kongwe iliyoandikwa kwa mkono,msahafu huo wa Kihistoria ambao upo katika ofisi za Nyaraka imeandikwa katika Kijiji cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja kwa lugha ya Kiarabu,kulia mfanyakazi wa ofisi hiyo Moza Zahra(Picha na Abdall Masangu ). Kwa hisani ya ZanziNews
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni