Operesheni ya msako inatarajia
kuanza kusini mwa mlima Alps nchini Ufaransa hii leo baada ya
kuanguka kwa ndege ya shirika la Germanwings hapo jana na kuuwa watu
150.
Maafisa wametahadharisha kuwa zoezi
hilo litadumu kwa siku kadhaa katika eneo la kando la bonde baina ya
Digne na Barcelonnette.
Viongozi wa mataifa ya Ujerumani na
Ufaransa wanatarajiwa kutembelea eneo ilipoanguka ndege hiyo.
Helkopta ikiwa juu ya bonde hilo katia operesheni inayoendelea



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni