Bondia Manyy Pacquiao amesema wakati muafaka umefika wa kupanda ulingoni kupigana na mpinzani wake bondia Floyd Mayweather.
Mabondia hao ambao wanaonekana ndio mabondia bora kwa kizazi cha sasa, watapanda ulingoni jijini Las Vegas, Nevada May 02'2015.
Kuelekea pambano hilo, tayari Mayweather ametamba kuwa atakuwa bondia wa kwanza duniani kuingiza kibindoni kipato cha dola miliono 100 katika pambano moja.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni