.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 6 Mei 2015
KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI ANSI MMASI ATOA MSAADA KWA WALIOATHIRIKA NA MFURIKO MOSHI VIJIJINI.
Chakula cha msaada kwa ajili ya wananchi walio athirika na mafuriko wilaya ya Moshi vijijini kikushushwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya kwa ajili ya kwenda kukabidhiwa kwawahusika.
Kada wa Chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi akikabidhi msaada wa Chakula kwa afisa tarafa,Eveline Mmary ambaye alipokea msaada huo kwa niaba ya katibu tawala wa wilaya ya Moshi.
Afisa Tarafa wa Kilimanjaro akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa chakula kwa ajili ya waathirika wa mafuriko katika eneo la TPC wilaya ya Moshi vijijini.
Kada wa chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada wa Chakula kwa ajili ya watu walioathirika na mafuriko katika eneo la TPC wilaya ya Moshi Vijijini.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni