.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 16 Julai 2015

MKE WA JOHNNY DEPP AITWA MAHAKAMANI KWA KUSAFIRISHA MBWA AUSTRALIA

Mke wa muigizaji filamu Johnny Depp ameitwa mahakamani kuhusiana na tuhuma za kumsafirisha kimagendo mbwa wao hadi nchini Australia.

Mke huyo Amber Heard alijikuta matatani mwezi Aprili kwa kushindwa kubainisha kusafiri na mbwa huyo kwa mamlaka za Australia wakati akiwasili Brisbane.

Nchi ya Australia inasheria kali za kudhibiti uingiaji wa wanyama ili kuzuia uwezekano wa wanyama kutoka nje ya nchi hiyo kuingiza maambukizi nchini humo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni