Mchezaji nyota mkongwe wa Brazil
Pele amelazimika kurejea tena hospitali kwa matiabu ikiwa ni miezi
miwili tu kupita tangu afanyiwa upasuaji katika kipofu cha haja
ndogo.
Vyombo vya habari vya Brazil
vimesema Pele (74) alikuwa na maumivu ya misuli na amefanyiwa
upasuaji mgongoni katika hospitali ya Albert Einstein huko Sao Paulo.
Pele ambaye ametwaa mara tatu kombe
la dunia, alikuwa akitibiwa maambukizi ya mfumo wa haja ndogo miezi
nane iliyopita baada ya kutolewa mawe kwenye figo yake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni