.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 21 Julai 2015

WAZIRI MWINYIHAJI AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA KENYA MH RAILA ODINGA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe Dk Mwinyihaji Makame akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimia akiwa Zanzibar kushiriki Mkutano wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwea Nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika kesho Zanzibar.
Waziri Mwinyihaji akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Ushirikiano na ASmani Usalama Afrika Mashariki.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora, Mhe Dk Mwinyihaji Makame akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimiana akiwea Zanzibar akihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maenndeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki, unaotarajiwa kufanyika kesho Zanzibar.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga akiwa na ujumbe wake akizungumza na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk Mwinyihaji Makame alipofika kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga akiwa na ujumbe wake akizungumza na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk Mwinyihaji Makame alipofika kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Zanzibar kesho.
Waziri Mwinyihaji akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Odinga. Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni