Mlipuko mkubwa umetokea katika mji
wa Tianjin kaskazini mwa China na kuua watu 17 huku mamia ya watu
wakijeruhiwa.
Chombo cha habari cha serikali
kimesema mlipuko huo umetokea kwenye ghala lililokuwa limehifadhia
kemikali hatari, katika bandari ya mji huo.
Picha na video kwenye mitandao ya
jamii zimnaonyesha moto mkubwa ukitanga angani, na kunamajengo
yameripotiwa kuanguka. Taarifa zinaeleza hospitali zimezidiwa na
majeruhi.
Magari yakiwa yameungua kufuatia mlipuko huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni