.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Alhamisi, 13 Agosti 2015
SIMPLE HOPE FOUNDATION WAMTEMBELEA BALOZI MULAMULA WIZARA YA MAMBO YA NJE
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Bi. Pamela A. Schwalbach, mmoja wa waanzilishi wa Shirika la (Simple Hope East Africa) linalo fanya kazi za kijamii na wakina mama wa Kabila la Hadzabe, Mkoani Manyara.
Bi. Pamela (katikati) na Bi Karen J. Puhl (Kushoto) wakiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu Mambo ya Nje ambapo alipata wasaa wa kupokea taarifa ya kazi za shirika hilo lisilo la kiserikali la Marekani, Jimbo la Wisconsin.
Katibu Mkuu Balozi Liberata Mulamula (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Bi. Pamela A. Schwalbach (wa pili kushoto), Bi. Karen J. Puhl (wa pili kulia), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kulia) na Afisa Mambo ya Nje Bi. Felista Rugambwa.
Picha na Reginald Philip
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni