.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 13 Septemba 2015

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MKOANI RUVUMA


Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea udiwani wa Ukawa kata ya Tingi wilaya ya Nyasa, Bosco Mapunda alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni kijijini hapo. (Picha na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na baadhi ya madiwani wa Ukawa wa Kata ya Tingi alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Nyasa.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea ubunge kupitia viti maalum, Anna Diwu.

Wananchi wa kijijicha Tingi mkoani Ruvuma wakifuatilia mkutano wa kampeni.


Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba mtoto Tedy wa kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma wakati wa mkutano


Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimia na wananchi wa kijiji cha Tingi katika jimbo la Nyasa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Ruvuma.


Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimia na wananchi wa kijiji cha Tingi katika jimbo la Nyasa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Ruvuma.


Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwatambulisha madiwani wa Ukawa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Tingi jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni