Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A Unguja katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla baada ya kumuaapisha kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana Mkono wa Shukurani na Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla baada ya kumuaapisha kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla,iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kutoka kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikului na Utawala Bora, Dk Mwinyihaji Makame,Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji na Naibu Kadhi Hassan Othman Ngwali
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla,iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kutoka kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikului na Utawala Bora,Dk. Mwinyihaji Makame.
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla,iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kutoka kulia)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum Haji Omar Kheir,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,Meya wa Manispaa ya Mji wa ZanzibarMr.Khatib na Mshauri wa Rais wa Uwezeshaji wananchi Kiuchumi Bw.Abrahman Mwinyijumbe,[Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni