Mtaalamu wa Mambo ya Habari kutoka (ECES)Bi Petra Jezkova katika Mradi wa Kurudia Mwenendo wa Uchaguzi wa Amani na Jumuishi, akifungua mafunzo ya siku tatu ya kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu yaliowashirikisha waandishi wa habari kisiwani Pemba wa Vyombo mbalimbali, ilioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania kwa kushirikiana na European Center for Electoral Support, iliofanyika katika ukumbi wa uwanja wa gombani Pemba.Mwanachama wa TAMWA Zanzibar Bi Shifaa Said Hassan.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo hayo kwa waandishi wa habari jinsi ya kuripoti habari za Uchaguzi Zanzibar.
Mtoa Mada kutoka ECES Bi Saila Maria Saaristo akitowa Mada jinsi ya kuripoti habari za Uchaguzi wakati wa kipindi hichi cha Kampeni na Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu. kwa Waandishi wa habari wa vyombo vya Serikali na Binafsi jinsi ya kuripoti habari za Uchaguzi katika vyombo vyao bila ya kupendelea upande wowote.
Mtoa Mada Bi Saila Maria Saaristo, akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo kwa waandishi wa habari kisiwani Pemba yanayofanyika katika ukumbi wa uwanja wa gombani Pemba.
Waandishi wakiwa makini kufuatilia mada hiyo ya kuripoti habari za uchaguzi Zanzibar
Mtaalam wa Kuripoti Habari Bi Petra Jezkova akifafanua jambo wakati wa Mafunzo hayo ya kwa waandishi wa habari jinsi ya kuripoti habari za uchaguzi Zanzibar wakati wa mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa gombani Pemba.
Bi Petra Jezkova akitowa ufafanizi wa jinsi ya kutowa fursa sawa kwa Vyama wakati wa kuripoti habari za uchaguzi Zanzibar.
Waandishi wakifuatilia mafunzo hayo ya Siku tatu jinsi ya kuripoti habari za Uchaguzi wakati wa kuripoti habari hizi katika kipindi hichi cha Uchaguzi Zanzibar kutoa fursa sawa kwa wote.
Mwanachama wa TAMWA Bi Grace Ngonyani akifafanua jambo wakati wa mafunzo hayo kwa waandishi wa habari kuripoti habari za Uchaguzi Zanzibar, Mafunzo hayo yameandaliwa na European Center for Electoral Support (ECES) iliowashirikisha waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kisiwani Pemba. Kwa hisani ya ZanziNews
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni