Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza katika mkutano wa kujadili Amani baina ya viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na jeshi la Polisi mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya viongozi wa Siasa na viongozi wa dini waliohudhulia katika mkutano huo.
Mkuruenzi wa kitengo cha Sayansi ya Siasa na Uongozi wa umma katika chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM),John Jingu akichangia maada katika mkutano wa kujadili amani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa na UNDP, Alvaro Rodriguez akichangia maada katika mkutano wa kujadili amani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kipindi cha kwanza katika mkutano wa kujadili amani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kipindi cha kwanza katika mkutano wa kujadili amani kuelekea uchuguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni