CSI walishawahi toa msaada wa namna hiyo hospitali ya Amana iliyopo
Wilaya ya Ilala jijini Dar na nchini Uganda kwa lengo hilo la kuokoa
maisha ya wazazi watarajiwa wa kujifungua.
Takribani ya wazazi 35 hufa
kila siku aidha kwa sababu ya kukosekana vifaa au kwa uzembe na
kutokuwepo kwa elimu ya kutosha itakayosaidia kuokoa maisha ya mzazi
hao.
Na kama ingekua daladala kila siku inatokea ajali na kuua wa 35
nadhani nchi ingacha shughuli zake na kulitazama swala hilo kwa upana
zaidi lakini mtizamo wa akina mama hao 35 wanaopoteza maisha kila siku
kwa ajili ya kujifungua bado wananchi na serikali haijalichukulia swala
hili uzito unaostahili ya kuokoa maisha ya akina mama hao. PICHA NA
VIJIMAMBO NA KWANZA PRODUCTION
Jessica Mushala akiipongeza CSI kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwasaidia
akina mama wanaojifungua Duniani kote kwa kutoa elimu ya uzazi na vifaa
kwa wazazi na wakunga kujaribu kuokoa maisha ya wazazi wanaojifungua
kutokana na uzembe au kutokua na vifaa ikiwemo elimu ya
uzazi.
Kwa picha zaidi bofya
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni