Makazi ya watu Carolina Kusini
nchini Marekani yameharibika kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko na
kuua watu 19.
Wakazi wa jimbo hilo la Marekani
wameanza kuhesabu hasara waliyopata wakati huu mvua hizo zikiisha.
Inakadiriwa kuwa mafuriko hayo
yamesababisha hasara ya dola bilioni 1 kwa nyumba za watu, maduka
pamoja na barabara.
Wakazi wa Carolina wakingoa mbao kwenye sakafu na ukutani baada ya kuharibiwa na maji
Ni hasara tupu alama za kima cha maji yalivyojaa zikiwa zinaonekana katika kuta za nyuma
Barabara sasa zinatumika kwa kutumia mitumbwi na si magari tena
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni