Moto uliotokea leo alfajiri
umeunguza sehemu ya Chuo Kikuu cha Maseno katika jengo la utawala
mjini Kisumu nchini Kenya.
Tarifa zimeeleza kuwa ofisi za fedha
na ustawi wa wanafunzi zimeathirika na moto huo ambao chanzo chake
hakijajulikana.
Mkurugenzi wa mahusiano ya jamii
Jasper Otieno amsema ndio wamepata taarifa za moto huo, na kuongeza
kuwa watatoa taarifa badae.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni