.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Oktoba 2015

MIZENGO PINDA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM WILAYANI NKANSI

2
Mjumbe wa Kamti kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa kampeni za CCM kuwanadi mgombea urais, wabunge na madiwani katika kijiji cha Kabwe wilayani Nkansi Oktoba 8, 2015.
1
Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Muu, Mizengo Pinda akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Nkansi Kaskazini, Ally Kessy Mabodi katika mkutano wa kampeni za CCM aliouhutubia katika kijiji ch Kalungu wilayani Nkansi Oktoba 8, 2015.
3 4
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kijiji cha Kalungu wilayani Nkansi wakishangilia wakati alipowanadi mgombea urais, wbunge na madiwani Oktoba 8, 2015.  (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni