Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Waziri Mkuu wa zamani Bw. Cleopa David Msuya akisoma ripoti ya mwaka
2015, wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa kampuni hiyo uliofanyika
Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Tanzania, Bw.
Robert Jaran.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni