Mwanaume mmoja aliyefunikwa na
kifusi kwa zaidi ya muda wa saa 60 katika eneo lililokumbwa na
maporomoka ya ardhi Shenzhen nchini China, amekutwa akiwa hai.
Maporomoko hayo yaliyotokea mapema
siku ya jumapili yalifunika majengo 30 katika eneo la wilaya ya
viwanda.
Waokoaji wamefanikiwa kufukua mwili
wa kwanza kwenye kifusi siku ya jana, watu zaidi ya 70 wakiwa
hawajulikani walipo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni