Polisi nchini Ufaransa wamefanikiwa
kudhibiti shambulio la ugaidi lililokuwa linawalenga polisi na
wanajeshi katika mkoa wa Orleans.
Waziri wa Mambo ya Ndani Bernard
Cazeneuve wanaume wawili wenye umri wa maiaka 20 na 24, wamekamatwa
Desemba 19 na wanashikiliwa kwa mahojiano.
Wawili hao wanaaminika raia mmoja wa
Ufaransa ambaye anaminika kuwapo Syria. Ufaransa imeshuhudia
shambulio baya la kigaidi mwezi uliopita lililouwa watu 130 Jijini
Paris.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni