Rais Uhuru Kenyatta ametetea safari
zake za nje ya nchi anazozifanya mara kwa mara, kwa kusema kuwa
zinaifanya Kenya kuendelea kusimama kama kiongozi wa kikanda na
kuinufaisha kiuchumi.
Tarifa iliyotolewa na msemaji wake,
Bw. Manoah Esipisu, imeorodhesha faida za safari za rais
kidiplomasia, kiuchumi pamoja na misaada.
Rais Uhuru Kenyatta kasafiri nje
mara 43 katika miaka mitatu, mara kumi zaidi ya rasi Mstaafu Mwai
Kibaki katika kipindi chake chote cha miaka 10.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni