.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 4 Desemba 2015

WATU 12 WAMEUWAWA KATIKA JIJI LA CAIRO NCHINI MISRI KWA BOMU LA KUTUPWA

Watu 12 wameuwawa katika Jiji la Cairo nchini Misri, baada ya bomu linalowaka moto kurushwa kwenye hoteli.

Tukio hilo limetokea eneo la Agouza katika jiji la hilo la Cairo kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Misri.

Gazeti la The Cairo Post limesema watu waliofunika nyuso zao walirusha bomu hilo kwenye ukumbi ambao pia una klabu ya usiku na kisha kukimbia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni