.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 7 Januari 2016

MAHAKAMA YA SHERIA YAMUHUKUMU KIFO KIONGOZI WA DINI NIGERIA

Mahakama ya Kiilsam ime muhukumu adhabu ya kunyongwa kiongozi wa mmoja wa dini kwa kosa la kutoa lugha chafu kwa Mtume Muhammad, katika mji wa kaskazini wa Kano.

Kiongozi huyo Abdulazeez Dauda, maarufu zaidi kwa jina la Abdul Inyass, alihukumiwa baada ya kesi yake kuendeshwa kwa siri ili kuepusha maandamano.

Wafuasi wake wengine watano nao pia walihukumiwa adhabu ya kifo mwaka jana. Hukumu hizo ni za kwanza kutolewa Mahakama ya Nigeria inayofuata Sheria za Kiislam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni